Ada
- Wakati wa kuwasilisha taarifa ya nia ya kukata rufaa ..................... Tsh. 50,000
- Wakati wa kuwasilisha maelezo ya rufaa ........................................ Tsh. 200,000
- Wakati wa kuwasilisha majibu ya maelezo ya rufaa .........................Tsh. 50,000
- Wakati wa kuwasilisha maelezo ya ziada ................................ ........Tsh. 100,000
- Ombi la utekelezaji wa amri au hukumu ........................................... Tsh. 30,000
- Ombi la kuongezewa muda wa kukata rufaa ........................... .........Tsh. 50,000
- Ada ya kupitia nyaraka ............................................................. .........Tsh. 40,000
- Chaguo la kujiunga kama mlalamikaji mwenza katika kesi ............... Tsh. 200,000
- Ombi la kurekebisha maelezo ya rufaa ................................ ..............Tsh. 100,000
- Taarifa ya kujitoa kwenye rufaa ............................................ ..............Tsh. 3,000,000
- Ombi la kutengua uamuzi uliofanyika bila ya mlalamikaji kuwepo ..... Tsh. 1,500,000
- Chaguo la kujiunga kama mlalamikaji mwenza katika kesi ................ Tsh. 200,000
- Huduma ya hukumu, mwenendo, n.k. ................................................ Tsh. 50,000