Vigezo na Masharti
Tovuti hii ina taarifa za jumla kuhusu Baraza la Masoko ya Mitaji, majukumu ya Mamlaka na huduma tunazotoa kuhusiana na masuala ya masoko ya mitaji na dhamana nchini Tanzania. Haya ni masharti ya matumizi kwa tovuti hii. Ukiendelea kutumia tovuti hii inathibitisha kukubali vigezo hivi.