Je, rufaa zinazopelekwa kwa Baraza la Masoko ya Mitaji hutoka Wapi?
Rufaa kwa Baraza hutoka kwa watu binafsi au taasisi ambazo hazijaridhika na maamuzi yaliyotolewa na Mamlaka ya Usimamizi au watu na zilizo kwenye migogoro ndani ya masoko ya mitaji.