+255738785651 info@cmt.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA FEDHA

BARAZA LA MASOKO YA MITAJI

CMT Logo
Je, Baraza la Masoko ya Mitaji lina mamlaka gani?

Baraza lina mamlaka ya kutoa adhabu au suluhu kwa migogoro iliyowasilishwa, kuruhusu hatua za utekelezaji wa kisheria au kuhakikisha utekelezaji na utii wa maamuzi yake.