Je, maamuzi ya Baraza la Masoko ya Mitaji yanatekelezeka?
Ndiyo. Baada ya Baraza la Masoko ya Mitaji kutoa maamuzi, yanaweza kubadilishwa kuwa amri rasmi, iliyotiwa saini na Mwenyekiti au Msajili, na kutekelezwa kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Madai (Sura ya 33).