Je, maamuzi ya Baraza la Masoko ya Mitaji yanaweza kukatiwa rufaa?
Ndiyo. Maamuzi yanayotolewa na Baraza la Masoko ya Mitaji (CMT) yanaweza kukatiwa rufaa kwenda Mahakama ya Rufani Tanzania lakini kwa hoja za kisheria pekee si kwa masuala ya uthabiti wa kesi.