Mhe. Dkt. Martin Wilbert Kolikoli

Jina: Mhe. Dkt. Martin Wilbert Kolikoli
Cheo: Msajili
Barua pepe: info@cmt.go.tz
Simu: +255738785651
Wasifu
Dkt. Kolikoli ni wakili wa serikali mwenye uzoefu wa zaidi wa miaka kumi kwenye tasnia ya sheria. Kitaaluma ni wakili mwenye shahada mbili za uzamili; M.A katika Sheria ya Mapato na Usimamizi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na LL.M katika Sheria ya Biashara ya Kimataifa kutoka Chuo Kikuu cha Salford, Uingereza. Pia, anashahada ya udaktari katika Usimamizi wa Biashara (DBA) kutoka Chuo Kikuu cha Brentwood, Marekani.
Aidha, ni Mchambuzi wa Fedha za Miradi mwenye Cheti kutoka Cambridge Academy of Professionals, Uingereza; mhitimu wa Diploma ya Juu katika Ushuru wa Kimataifa kutoka Taasisi ya Ushuru ya Uingereza (ADIT) na Mwanachama wa Ushuru wa Kimataifa.